• Makamba awajia juu waliovamia misitu

  Makamba ametoa msimamo huo leo alipotembelea msitu huo uliopo Kata ya Kibindu katika Halmshauri ya Mji Mdogo wa Chalinze mkoa wa Pwani kisha kuzungumza na wananchi wa eneo kwenye mkutano wa hadhara. Amesisitiza kuwa wananchi hao waliovamia lazima waondoke katika eneo hilo ili kuhifadhi na kuulinda msitu Ziguo ambao ni miongoni vyanzo vya maji katika […]

  Continue reading
 • Finland yasaini mkataba wa Sh3.9 bilioni na kampuni za misitu

  Ubalozi wa Finland nchini umesaini mkataba wa makubaliano wa jumla ya Euro 1.6 milioni (bilioni 3.9) na kampuni mbili za misitu, ili kuwawezesha wakulima kupanda miti kwa ajili ya biashara. Kampuni hizo ni New Forest Company(NFC) na Kilombelo Valley Teak Company(KVTC) ambapo makubaliano hayo ni ya miaka mitatu ya uendeshaji wa mradi huo utakaowezesha kupanda […]

  Continue reading
 • Those who invade state forests risk legal action

  THE nation was told last year that invaders had occupied a natural forest that is home to Hadzabe people in Singida Region. The invaders were ordered by Mkalama District Commissioner (DC), Edward ole Lenga, to move out of the forest immediately. The DC ordered the invaders to move out of the conserved forest voluntarily short […]

  Continue reading
 • Lack of Cooperation btn Local leaders and law enforcers halt forest

  Effective and efficient conservation and management of village land forest reserves is still an uphill task in many districts and regions in Tanzania This is because of little or at times lack of cooperation between the village leaders, districts, natural resource committees and the law enforcers. On December 26th last year in 2016, Msolokelo village […]

  Continue reading
 • In one village , survival is linked to forest conservation

  WHEN Jamila Sallimu chikunda found out she was pregnant with her child in 2015, her joy quickly turned to anxiety. Chikunda ‘s family was struggling to make ends meet and she didn’t know how they would afford to pay for the delivery and costs associated with the pregnancy IN Tanzania , expectant mothers need to […]

  Continue reading
 • Illegal settlers threaten zimbabwe’s timber industry

  From the mountaintop at Skyline in the Chimanimani district of eastern Zimbabwe, a mosaic of scorched trees and timber can be seen stretching for miles on end. Lit by a wave of illegal settlers, the fires regularly rage through the pine and eucalyptus plantations of Manicaland province , destroying vast swathes of timber at enormous […]

  Continue reading
 • Villagers face eviction over forest encroachment

  Monduli Two villages in Monduli District,Arusha Region may have their registration revoked after it was found that their boundaries extended into a forest reserve, government authorities warned here last week. Monduli Two villages in Monduli District,Arusha Region may have their registration revoked after it was found that their boundaries extended into a forest reserve, government […]

  Continue reading
 • Mti wenye miaka 600 wapatikana nchini

  moshi Mtafiti wa viumbe na mazingira kutoka chuo kikuu cha Bayreuth cha nchini ujerumani, Dk Andres Hemp ameelesea sifa za mti ujulikanao kama mkukusu kuwa unaweza kushi kati ya miaka 200 hadi 300, lakini ulionekana nchini una miaka 600. SOMA ZAIDI

  Continue reading
 • Shehena ya mbao yanaswa Mwanza

  By Ngollo John, Wakala wa Mistu nchini (TFS) mkoani hapa imekamata mbao 995 zenye thamani ya Sh15 milioni zilizokuwa zinamilikiwa kinyume na sheria ya misitu namba 14 ya mwaka 2002. Ofisa Mistu Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Mgimwa alisema mbao hizo zilikamatwa wakati wa msako uliofanyika Februari 4, mwaka huu katika eneo la biashara la mfanyabiashara, […]

  Continue reading
 • TANZANIA FORESTRY WORKING GROUP (TFWG) WORKSHOP IN LUSHOTO

  Tanzania Natural Resources Forum (TNRF) is hosting a workshop in Lushoto from today 1st February to 3rd February. More than 10 participants including TFWG members from different organizations have attended this workshop (WWF, JET, SHIVIMITA, MJUMITA, LEAT, MCDI, FARM AFRICA, TRAFFIC, AFRICARE, and TASONABI). The objective of this workshop is to review the Tanzania Forestry […]

  Continue reading