• WAHARIBIFU WA MAZINGIRA WAKAMATWE-MAJALIWA

  Na. Ahmed Mmow, Ruangwa. Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi mkoani Lindi kutunza na kulinda misitu ili kuiepusha nchi kuwa jangwa. Majaliwa ametoa onyo hilo leo kwa nyakati tofauti, alipozungumza na wananchi katika vijiji vya Nanjalu, Nambilanje, Mkalanga, Namichiga, Nandenje na Mandarawe vilivyopo katika wilaya ya Ruangwa. Waziri Majaliwa ambae pia ni kiongozi wa shuguli […]

  Continue reading
 • KUTOWEKA KWA MITI MUHIMU NCHINI NA HATARI YA UMASKINI

  MITI ya Mninga na Mkongo ambayo ni adhimu na adimu ipo hatarini kutoweka wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara, endapo hakutakuwa na jitihada za kudhibiti uvunaji holela. Uchunguzi uliofanywa na sautiyamnyonge umebaini kuwa Mbao za meta za ujazo 566.12 zilivunwa ,mkaa gunia 38 pamoja na ukindu kilogram 1028 mwaka 2015/2016 ambapo jumla ya sh.139,673,3495 zimekusanywa kupiti mazao […]

  Continue reading
 • UTOROSHAJI MBAO NJE YA NCHI UNAVYOINYIMA TANZANIA MAPATO

  UKUSANYAJI wa mapato kwa Serikali kutokana na mazao ya Misitu umepungua baada ya wafanyabiashara kujiusisha na utoroshaji wa mazao hayo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wakikwepa kodi na tozo zinazotozwa nchini na mamlaka za serikali. Afisa Forodha Mfawidhi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania mkoa wa mtwara (TRA) Sume Kunambi anasema athari za utoroshoji wa mazao […]

  Continue reading
 • MISITU TANZANIA-BBC SWAHILI

  Continue reading
 • Reflections on the Timber Traders Meeting in Lindi

  Cover photo: Ms. Mwanahawa Mpondi, Mama Misitu of Kiwanga Village, Rufiji District. (Photo credit: Elvis Engelbert) By Ian Trupin, TNRF Communications Intern On Friday, February 19th, the Mama Misitu Campaign (MMC) convened a meeting of timber traders from the Selous-Ruvuma area, representatives of CBNRM villages, facilitating CSOs, and government officials, with the aim of bringing together […]

  Continue reading
 • Launch of the Mama Misitu TV Campaign

  The Mama Misitu Campaign will be launching a TV campaign on MJUMITA sustainable charcoal value chain on Friday, 11th September at the New African Hotel from 10.30am. The programs/episodes which have been produced in Kilosa district, Morogoro region is part of the concerted efforts made by MJUMITA & TFCG to transform and formalize the charcoal […]

  Continue reading
 • A Rapid Assessment of the Illegal Timber Trade Across the Ruvuma River on the Tanzania – Mozambique Border

  -by TRAFFIC The completion in 2010 of the Unity Bridge connecting Mozambique and Tanzania and the establishment of a Customs office in Mtambaswala, Tanzania, has generally facilitated the increase in traded goods and services between the two countries. At the same time, findings from this report suggest the bridge is also being used to transport […]

  Continue reading
 • Mama Misitu launches TV campaign

  Today, 11th December 2013, the Mama Misitu Campaign (MMC) has launched two powerful TV spots to raise awareness about the loss of forests and the devastating impact this has on communities. The event brought together various stakeholders including Tanzania Forest Service – Ministry of Natural Resources and Tourism, Forest entrepreneurs from Tanga, communities from Nanjirinji […]

  Continue reading
 • Forest conservation earns villagers TSh 22m annually

  Rufiji. Campaigns to have villages engage more in forest conservation especially in areas that are surrounded by natural forests may bear fruit, if a recent example in one village in Rufiji District is emulated. Over the years, forest conservation campaigns have been initiated to ensure the impact of climate change that has threatened to leave […]

  Continue reading