• Tulirithi tuwarithishe watoto wetu

    Na Sarah Pelaji HAYA njoni  tusemezane mazingira   mali   yetu,    uhai wetu na  fahari yetu. Tulirithituwarithishe. Tulipewa bure tuwape bure. Kwa     maneno      hayo     tangulizi sichelei  kuikumbusha  jamii  maneno ya Mwenyezi Mungu alipoumba ulimwengu “  Tazama Mungu Aliumba mbingu  na  nchi  …..kia alichokiumba tazama ni chema …. Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu akamweka katika bustani ya Edeni […]

    Continue reading
  • Uboreshaji sera uchochee uhifadhi na ulinzi wa misitu

    Mashaka Mgeta SERIKALI  ipo  katika  mchakato wa kuiboresha  sera ya misitu  ya mwaka 1998, hali itakayosaba- bisha    marekebisho   ya   Sheria ya Misitu  namba  12 ya mwaka 2012. Afisa Misitu  Mwandamizi   ka- tika  idara  ya  misitu   na  nyuki ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Emanuel Msofe, anasema hayo wakati akizungumza katika war- sha ya wahariri na waandishi […]

    Continue reading