• Mgogoro wa Uongozi Mihima watishia Kuangamiza msitu wa Kijiji

  Na. Ahmad Mmow, Lindi. Mgogoro wa uongozi katika kijiji cha Mihima Wilaya ya Lindi, unatajwa kuwa unaweza kuangamiza msitu wa hifadhi wa kijiji hicho wenye ukubwa hekta 2662. Wakizungumza na Lindiyetu.co.tz mwanzoni mwa wiki hii kijijini hapo, baadhi ya wananchi na viongozi wa serikali ya kijiji hicho, walisema mgogoro huo ambao uliodumu kwa takribani miaka […]

  Continue reading
 • Environmental conservation for fast economic growth

  NATURAL and Tourism Minister Jumanne Maghembe hinted that consumption of charcoal in the country is likely to double by 2030. And, this is alarming news, indeed, as far as environmental protection and conservation are concerned. More charcoal consumption simply means increased deforestation, resulting into desertification. Available data show that charcoal use is likely to increase […]

  Continue reading
 • HOTUBA YA MGENI RASMI MHE. PROF. JUMANNE A. MAGHEMBE (MB) WAZIRI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ILIYOSOMWA NA MKUU WA WILAYA YA MOROGORO MHE. REGINA CHONJO KWENYE SIKU YA KITAIFA YA UPANDAJI MITI TAREHE 1 APRILI, 2017 MKOANI MOROGORO

  Ndugu Wananchi, Tukumbuke kuwa MISITU YETU NI UHAI WETU na kwamba mahitaji mengi muhimu katika maisha yetu ya kila siku yanategemea misitu kwa njia moja au nyingine.  Napenda siku hii ya leo nizungumzie kuhusu Nishati itokanayo na miti. Sote tunajua kuwa, Nishati inayotokana na misitu ndiyo inayotegemewa na Watanzania takriban asilimia 90  kwa maisha yao […]

  Continue reading
 • Tanzania forest services agency conducts a confiscation operation in Makere forest reserve

  Tanzania forest services agency in Kasulu district Kigoma region has confiscated more than 200 bicycles, motorcycles, wood, logs , hand hoes and farm tools in makere forest reserve, Kasulu district.

  Continue reading
 • National charcoal wood energy policy should address illegal charcoal

  This charcoal was used and still being used by people from diverse background including poor household consumers, national policy makers and expatriate development partners. According to Prof. Romanus Ishengoma from the Faculty of Forestry and Nature Conservation, Sokoine University of Agriculture (SUA), about 28,500 bags (of 60­80kg each) were delivered into Dar es Salaam daily […]

  Continue reading
 • Losses in forest business alarm WWF

  Informal forest businesses and lack of business model for running forest economy are the major cause of deforestation in Tanzania, according to Dr Ngusaro. He said the growth of informal forest businesses such as charcoal and poorly organised forest farms have been accelerating deforestation rate. “WWF calls on the government to design a business model […]

  Continue reading
 • How charcoal ban could work in the absence viable alternative?

  A survey conducted by the Guardian in Dar es Salaam, Coast and Morogoro regions on the charcoal ban, has found that the government’s directive cannot work due to high demand of charcoal in big cities like Dar es Salaam and if forced, it will only fuel illegal charcoal transportation at night and corruption at check […]

  Continue reading
 • Makamba awajia juu waliovamia misitu

  Makamba ametoa msimamo huo leo alipotembelea msitu huo uliopo Kata ya Kibindu katika Halmshauri ya Mji Mdogo wa Chalinze mkoa wa Pwani kisha kuzungumza na wananchi wa eneo kwenye mkutano wa hadhara. Amesisitiza kuwa wananchi hao waliovamia lazima waondoke katika eneo hilo ili kuhifadhi na kuulinda msitu Ziguo ambao ni miongoni vyanzo vya maji katika […]

  Continue reading
 • Finland yasaini mkataba wa Sh3.9 bilioni na kampuni za misitu

  Ubalozi wa Finland nchini umesaini mkataba wa makubaliano wa jumla ya Euro 1.6 milioni (bilioni 3.9) na kampuni mbili za misitu, ili kuwawezesha wakulima kupanda miti kwa ajili ya biashara. Kampuni hizo ni New Forest Company(NFC) na Kilombelo Valley Teak Company(KVTC) ambapo makubaliano hayo ni ya miaka mitatu ya uendeshaji wa mradi huo utakaowezesha kupanda […]

  Continue reading
 • Those who invade state forests risk legal action

  THE nation was told last year that invaders had occupied a natural forest that is home to Hadzabe people in Singida Region. The invaders were ordered by Mkalama District Commissioner (DC), Edward ole Lenga, to move out of the forest immediately. The DC ordered the invaders to move out of the conserved forest voluntarily short […]

  Continue reading