• HIFADHI YA TAIFA YA MSITU WA MKWENI UPO HATARINI KUTOWEKA KUTOKANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

  Na Evelyn Mkokoi Hifadhi ya Taifa ya Msitu wa Ukwemi uliyopo katika wilaya ya Kahama upo hatarini kutoweka kutokana na shughili za kibinadamu zinazofanywa ndani ya hifadhi hiyo zinazochangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira. Hayo yameelezwa na Meneja kutoka wakala wa Taifa wa Misitu Bw. Mohamed Dosa wakati wa Ziara ya Naibu Waziri Ofisi […]

  Continue reading
 • MAJALIWA AAGIZA “BEACONS” ZIWEKWE KWENYE HIFADHI ZA MISITU

  Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa miezi miwili kwa wakuu wa Mapori ya hifadhi za Msitu kuhakikisha wanaweka mawe ya alama(beacons) kwenye mipaka yao ili kuepusha migogoro na wanavijiji wanaowazunguka. Majaliwa ametoa agizo hilo leo(Jumatatu) wakati akizungumza na watendaji wakuu wa wizara ya Maliasili na Utalii na wakuu wa mapori ya hifadhi za […]

  Continue reading
 • WHY VILLAGE COMMUNITIES REPRESENTATION MANAGING GOVERNMENT FOREST RESERVE

  About 31 per cent of the forest resources are conserved under different management systems including the central and local governments and the remaining 69 per cent is under general and village land. Currently, nearly 600 forests are managed by the central government, 200 forests by the district authorities and 480 forests under village authority ownership. […]

  Continue reading
 • WHEN ILLEGAL TRADE IN FOREST PRODUCTS BECOMES THE NEW NORMAL

  The two girls did not give me precise instructions on how to reach NR, that is how the joint is best known by locals here. One of them seemed to be in a hurry and felt bothered by my request for direction. It was the first time that I had been to the place and […]

  Continue reading
 • HOW REDUCTION OF ROADBLOCKS COULD RELIEVE TIMBER TRADERS

  FOR a longtime, the timber dealers were crying foul over existence of ‘excessive checkpoints’ for inspecting forest products on Mtwara-Dar es Salaam Highway. During one of their meetings early this year held in Lindi Region, the latter expressed their deep concern against big number of the roadblocks which they described them as ‘catalyst’ to corruption […]

  Continue reading
 • WHEN FOREST GOVERNANCE AWARENESS KICKS OUT CORRUPT LEADERS

  The short course had been conducted by a non-governmental organization, Tanzania Natural Resources Forum, through its Mama Misitu Campaign, which is a communication strategy that seeks to raise awareness among communities living around indigenous forests so that they may be able to benefit from the natural resource through conservation and sustainable consumption. The campaign also […]

  Continue reading
 • VILLAGERS REALIZE FOREST BENEFITS AFTER SCHOOL DESKS CAMPAIGN

  The campaign was a big test to the newly appointed Regional Commissioners (RC’s) as President Magufuli and Prime Minister Kassim Majaliwa were insisting that the school desks campaign was one of the RCs’ performance ratings after being appointed. For those appointed to lead the regions blessed with forests were lucky as they capitalised on such […]

  Continue reading
 • WAHARIBIFU WA MAZINGIRA WAKAMATWE-MAJALIWA

  Na. Ahmed Mmow, Ruangwa. Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi mkoani Lindi kutunza na kulinda misitu ili kuiepusha nchi kuwa jangwa. Majaliwa ametoa onyo hilo leo kwa nyakati tofauti, alipozungumza na wananchi katika vijiji vya Nanjalu, Nambilanje, Mkalanga, Namichiga, Nandenje na Mandarawe vilivyopo katika wilaya ya Ruangwa. Waziri Majaliwa ambae pia ni kiongozi wa shuguli […]

  Continue reading
 • KUTOWEKA KWA MITI MUHIMU NCHINI NA HATARI YA UMASKINI

  MITI ya Mninga na Mkongo ambayo ni adhimu na adimu ipo hatarini kutoweka wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara, endapo hakutakuwa na jitihada za kudhibiti uvunaji holela. Uchunguzi uliofanywa na sautiyamnyonge umebaini kuwa Mbao za meta za ujazo 566.12 zilivunwa ,mkaa gunia 38 pamoja na ukindu kilogram 1028 mwaka 2015/2016 ambapo jumla ya sh.139,673,3495 zimekusanywa kupiti mazao […]

  Continue reading
 • UTOROSHAJI MBAO NJE YA NCHI UNAVYOINYIMA TANZANIA MAPATO

  UKUSANYAJI wa mapato kwa Serikali kutokana na mazao ya Misitu umepungua baada ya wafanyabiashara kujiusisha na utoroshaji wa mazao hayo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wakikwepa kodi na tozo zinazotozwa nchini na mamlaka za serikali. Afisa Forodha Mfawidhi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania mkoa wa mtwara (TRA) Sume Kunambi anasema athari za utoroshoji wa mazao […]

  Continue reading