KUTOWEKA KWA MITI MUHIMU NCHINI NA HATARI YA UMASKINI

MITI ya Mninga na Mkongo ambayo ni adhimu na adimu ipo hatarini kutoweka wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara, endapo hakutakuwa na jitihada za kudhibiti uvunaji holela.
Uchunguzi uliofanywa na sautiyamnyonge umebaini kuwa Mbao za meta za ujazo 566.12 zilivunwa ,mkaa gunia 38 pamoja na ukindu kilogram 1028 mwaka 2015/2016 ambapo jumla ya sh.139,673,3495 zimekusanywa kupiti mazao hayo huku mwaka 2014/2015 walikusanya cha sh. 214,518,073.
Likanda ameishauri serikali kuimarisha ulinzi na usimamizi wa misitu ya hifadhi ya Taifa kwa kuweka askari wa misitu kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma.
Afisa ufuatiliaji wa Misitu wa Asasi isiyo ya Kiaserikali ya Mpingo Concervation and Development Initiative (MPINGO) ya Kilwa Mkoani Lindi Andwea Mariki anaeleza sababu za ya miti hiyo kupendwana wafanyabiashara na watu wa kawaida kwamba ilijulika mapema tofauti na miti mingine.SOMA ZAIDI

 

Post a comment