MAJALIWA AAGIZA “BEACONS” ZIWEKWE KWENYE HIFADHI ZA MISITU

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa miezi miwili kwa wakuu wa Mapori ya hifadhi za Msitu kuhakikisha wanaweka mawe ya alama(beacons) kwenye mipaka yao ili kuepusha migogoro na wanavijiji wanaowazunguka.

Majaliwa ametoa agizo hilo leo(Jumatatu) wakati akizungumza na watendaji wakuu wa wizara ya Maliasili na Utalii na wakuu wa mapori ya hifadhi za Misitu nchini katika kikao alichokiitisha kwenyeukumbi wa ofisi ya waziri Mkuu mjini Dodoma.

waziri mkuu amesema migogoro baina ya wafugaji, wakulima na kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ni lazima zifanyike kazi. Read More

 

 

Post a comment