Makamba awajia juu waliovamia misitu

Makamba ametoa msimamo huo leo alipotembelea msitu huo uliopo Kata ya Kibindu katika Halmshauri ya Mji Mdogo wa Chalinze mkoa wa Pwani kisha kuzungumza na wananchi wa eneo kwenye mkutano wa hadhara. Amesisitiza kuwa wananchi hao waliovamia lazima waondoke katika eneo hilo ili kuhifadhi na kuulinda msitu Ziguo ambao ni miongoni vyanzo vya maji katika mto Wami. Soma zaidi…

Post a comment